capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Dont know what you are talking about.That is the difference between people!
We huamini nini ?
Nimemsoma... ..Ni aje? mbona unacheka umemsoma lakini capitalpool ?
Najua unajua nini anataka kuskia.hahahahahahah lol! she seems to be a trustworthy lady, and majority of the time my conclusion is 99% accurate.
Acha woga bro. Norway huko wasiojulikana hawawezi kufika bana. Jiachie tu kama akina Chahali na akina Mange japo uanaharakati unanoga ukisimama katika hoja za kikatiba badala ya matusi matupu. Na hiki ndicho kinachotofautisha wanaharakati halisi level ya akina Saanane na wanaharakati uchwara. Mange angekuwa anapiga harakati za kueleweka naamini angekuwa ameshatunukiwa hata shahada za heshima na vyuo vikuu mbalimbali; na hivyo kusaidia kusukuma mbele harakati hizo.Safi. Ni muhimu kutumia akili zaidi kuliko nguvu. Tahadhari muhimu.
Tunatumia haki ya kikatiba tuliyo nayo, popote itakapo tangazwa kuwajibika nitakuwepo mradi tu hatuvunji sheria ya nchi.
Haya mapenzi ya Kibongo Bongo haya mmmh...msiwe mnaenda deep sana na hizi ishu za wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Acha woga bro. Norway huko wasiojulikana hawawezi kufika bana. Jiachie tu kama akina Chahali na akina Mange japo uanaharakati unanoga ukisimama katika hoja za kikatiba badala ya matusi matupu. Na hiki ndicho kinachotofautisha wanaharakati halisi level ya akina Saanane na wanaharakati uchwara. Mange angekuwa anapiga harakati za kueleweka naamini angekuwa ameshatunukiwa hata shahada za heshima na vyuo vikuu mbalimbali; na hivyo kusaidia kusukuma mbele harakati hizo.
So far we nakukubali sana kwa sababu sijakusikia ukiporomosha matusi and you are always collected na hoja zako zinaeleweka na zimeegemea katika katiba na sheria - jambo ambalo hakuna mtu awezaye kulipinga unless kama anafaidika kwa namna moja au nyingine na mfumo.