Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alisema kosa hilo lilipelekwa mahakamani na zilifunguliwa kesi tano kwa wakati tofauti na baadaye kukamatwa tena kwa kosa jingine la wizi wa kutumia nguvu.

β€œKesi nne zilifutwa na kesi ya tano ya wizi wa kutumia nguvu ndio niliyohukumiwa nayo kifungo hicho. Nilishtakiwa kwa kuiba, wizi wa uaminifu, kuvunja na kuiba na wizi wa kutumia nguvu,” alisema.

Mbaga alisema β€œkwakuwa sikuridhika na hukumu nilikata rufaa mara tatu ila nilishindwa kesi hiyo na nikaendelea kutumikia kifungo changu ambacho nilimaliza mwezi Januari mwaka huu,” alisema.
 
Aisee nyinyi ambao akipita mwanamke mwenye msambwanda hata kama ukiwa na mkeo kugeuka ni lazima hiyo,tena mwanamke akizubaaa anafatwa.
Hujaelewa, "macho yana wivu".
Naweza kuwa na mwenzangu na nikageuka niangalie msambwanda, hiyo haina maana kuwa napenda misambwanda, ni tamaa ya macho tu lakini mwili na moyo wangu ukabakia kwa nimpendae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…