Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Consuela ni dadangu. Halafu ni mpole huwa hana maneno mengi. Usimchefue please...Na mahari yake utayaweza? Unawajua Wairaqw walivyo warembo au unawasikiaga tu? Itabidi uuze hiyo iPhone uhamie kwenye TECNO [emoji16][emoji16][emoji16]Tulia Bro, sie wazee iphone hatunaga maneno mingi.
Sijaenda nimelala kwa Consuela nilichelewa kuamka.
Naweza kuibiwa popote pale kwa kweli siwezi kuwa na simu sina raha nayo,I phone haibiwe why nimeshangaaUnaibiwa ukiwa wapi? Akiiba atafanyia nini? Siku hizi wezi wenye akili hawaibi iPhone.
Naheshimu Mawazo yake,Beki kisiki wa Liverpool Virgil van Dijk amempigia kura mchezaji wa Manchester City Raheem Sterling kuwa mchezaji bora wa mwaka wa Ligi kuu ya Uingereza na amesema kwamba kuna baadhi ya wachezaji wa City angeweza kuwapigia kura pia.
Hahaha yaani uangalie kitu ambacho usicho kipenda mkuu uko serious kweli 😀😀😀😀Hujaelewa, "macho yana wivu".
Naweza kuwa na mwenzangu na nikageuka niangalie msambwanda, hiyo haina maana kuwa napenda misambwanda, ni tamaa ya macho tu lakini mwili na moyo wangu ukabakia kwa nimpendae
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kuwa na demu alikuwa na msambwanda wa kufa mtu ila ikitokea tukakutana na msambwanda unaomzidi basi hata kama sijauona lazima atanionyesha...tena na maswali juu..."Kama huo ndo umepewa utauweza?" Basi tunaishia kucheka na ishu inaishia hapo. I loved that lady [emoji16][emoji16][emoji16]Hujaelewa, "macho yana wivu".
Naweza kuwa na mwenzangu na nikageuka niangalie msambwanda, hiyo haina maana kuwa napenda misambwanda, ni tamaa ya macho tu lakini mwili na moyo wangu ukabakia kwa nimpendae
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wew msukuma na Consuela udugu unatoka wapi Bro?@Consuela ni dadangu. Halafu ni mpole huwa hana maneno mengi. Usimchefue please...Na mahari yake utayaweza? Unawajua Wairaqw walivyo warembo au ubawasikiage tu? Itabidi uuze hiyo iPhone uhamie kwenye TECNO [emoji16][emoji16][emoji16]
Macho hayana pazia. Yaani nione msambwanda unameng'enyuka barabarani halafu niache kuuangalia? Whai?Hahaha yaani uangalie kitu ambacho usicho kipenda mkuu uko serious kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Endelea kutumia tecno bnti, BTW unatumiaje iPhone wakati kaka ako SYB anamiliki tecno? Utakua utovu wa nidhamu huo.Naweza kuibiwa popote pale kwa kweli siwezi kuwa na simu sina raha nayo,I phone haibiwe why nimeshangaa
Huyo bibie ana moyo wa kipekee kwa kweli,hana wivuNiliwahi kuwa na demu alikuwa na msambwanda wa kufa mtu ila ikitokea tukakutana na msambwanda unaomzidi basi hata kama sijauona lazima atanionyesha...tena na maswali juu..."Kama huo ndo umepewa utauweza?" Basi tunaishia kucheka na ishu inaishia hapo. I loved that lady [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni stori ndefu kidogo ila tu jua hivyo. Na mahari utatoa. Kama ng'ombe huna tutafanya iPhone XS Max 25 hivi...Sasa wew msukuma na Consuela udugu unatoka wapi Bro?
Aisee 😀😀😀😀Sawa mkuuEndelea kutumia tecno bnti, BTW unatumiaje iPhone wakati kaka ako SYB anamiliki tecno? Utakua utovu wa nidhamu huo.
Hata kama hayana pazia yaani mfano uwe na mimi apite mwanamke ugeuke uwiii naivunja shingo 😀😀Macho hayana pazia. Yaani nione msambwanda unameng'enyuka barabarani halafu niache kuuangalia? Whai?
Mahari napanga mimi na my future wife Bro, tulia.Ni stori ndefu kidogo ila tu jua hivyo. Na mahari utatoa. Kama ng'ombe huna tutafanya iPhone XS Max 25.
Alikuwa anajua kuwa kuangalia ni kawaida kwa mwanaume. Nilimpenda sana kwa hilo na sikuwahi kucheat muda wote niliokuwa naye...siyo hawa visirani mpaka msambwanda unameng'enyuliwa hapo pembeni mwanaume umejikaza usigeuze shingo eti utamvunjia heshima. Heshima mai futi [emoji16][emoji16][emoji16]Huyo bibie ana moyo wa kipekee kwa kweli,hana wivu
Hiyo ni dalili kuwa hujiamini. Mwanamke wa hivyo mi binafsi hanifai [emoji16][emoji16][emoji16]Hata kama hayana pazia yaani mfano uwe na mimi apite mwanamke ugeuke uwiii naivunja shingo [emoji3][emoji3]
Sio kisirani tatizo wivuAlikuwa anajua kuwa kuangalia ni kawaida kwa mwanaume. Nilimpenda sana kwa hilo na sikuwahi kucheat muda wote niliokuwa naye...siyo hawa visirani mpaka msambwanda unameng'enyuliwa hapo pembeni mwanaume umejikaza usigeuze shingo eti utamvunjia heshima. Heshima mai futi [emoji16][emoji16][emoji16]