Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16]
 
Habari za kupangiana mahali zimepitwa muda. Kwanza ni kama tunawaheshimu sana wazazi kupeleka mahali. Maana mahitaji yote ya binti kipindi chote cha uchumba nagharimika mimi. Kuanzia mavazi, outingi na wakati mwingine natuma pesa huko kwao.
Mahali yataendelea kuwepo maana yanatufanya tukumbuke Mila na desturi zetu kama waafrika.
Usisahau desturi zetu ni kama zinapotezwa na Mila za kigeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…