[emoji15][emoji15][emoji15]Okwiiiiiiiiiiiio
This is simba bro
Shemeji siku hizi nipo upande wako kukutetea, nachukia sana nikiona wasuku wanataniwa...
Nimechenji sana aisee.
Kuna sehemu huko nimekuta mtu ameitupia hiyo picha hapo chini halafu akawa anaongea yake, nimemfokea sana. Nikaamua kuifuta kwake, ajabu nikaikuta kwangu, nikajisemea tu "asavali umekuja kwangu, mimi ni shemeji yenu" basi.
Naomba tushirikiane shemeji [emoji120][emoji120][emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1070533
Watarudisha...na zaidi[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mzeee ai uliaga utarud baada ya dakika 90[emoji23][emoji23]This is simba bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenda zako hukooo. Eti umeifuta kwake halafu ukaikuta kwako [emoji16][emoji16][emoji16]
Afadhali huyu anatumia baiskeli yake kueneza injili. Ni bora kuliko Range Rover ya kufanyia ufuska...
Mungu Awasaidie TRM wote. Awaondolee chuki dhidi yetu. Kila mtu na aseme Aaaameeen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Maana kubwa? Kwako? Whai?Ina maana kubwa mno kwangu aiseee