Kama wewe ni mmoja wa watu ambao umekuwa ukisema utaingia kwenye biashara miaka nenda miaka rudi unatakiwa kuelewa kwamba kuna baadhi ya vitu vinavyokuzuia wewe kuingia kwenye biashara. Na bila ya kutatua vitu hivi kwanza utajikuta siku zinakwenda na biashara huanzi.
Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuhamia hivyo hivyo.#MwananchiLeo
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao umekuwa ukisema utaingia kwenye biashara miaka nenda miaka rudi unatakiwa kuelewa kwamba kuna baadhi ya vitu vinavyokuzuia wewe kuingia kwenye biashara. Na bila ya kutatua vitu hivi kwanza utajikuta siku zinakwenda na biashara huanzi.
Poa, mzimaMambo