Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu umeshakutana misambwanda ya bandia katika pita pita zako
Siyo kukutana nayo tu bali hata kuishika shika. Haina ule ubonyevu bonyevu wa kiasili hata mabunye mabunye yake na ile michirizi ya utamu iko tofauti. Halafu akiinama usishangae moja ukawa na kama ka-angle fulani kamechomoza zaidi kuliko kwingineko. Halafu hata ukiya-slap hakuna mtimbwiliko wa kimawimbi kama tuliyozoea kwenye misambwanda natural. Hii ya bandia ni migumu balaa na hata milio yake ni tofauti sana. Kwa ujumla hakuna mzuka kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…