Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jaman kajamaa kabishi hako,wanakadunda ila kapo tu.

Tatizo la man u kwa sasa ni kocha kawa mshkaji wao wasana kiasi wachezaji wanawaza maslah makubwa kuliko kuipigania timu. Nusu ya wachezaji hapo wana madai ya kuongezewa mishahara,robo kocha anaropoka hawataki msimu ujao lazima wavurugike akili. Kocha mkali kama babu fergie anaweza idhibiti man u ikakaa sawa
 
Aisee,ngoja tuone leo,,kwenye game chochote kinaweza kutokea na kuishangaza dunia,,naamini hivyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…