Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Timu nilizonazo(man u,madrid,yanga)zimetosha mweee hapa nilipo fulati screen nikiongeza timu si tundimu tutaisha kabisa.Stress za mpira sio kabisa.

Nipo nasubiria kwa hamu siku CR7 atakapostaafu kwa furaha nipunguze ka puresha
Siku hiyo ndo itokee zimefungwa zote [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Tundulelee tutia huruma mweee
 
Timu nilizonazo(man u,madrid,yanga)zimetosha mweee hapa nilipo fulati screen nikiongeza timu si tundimu tutaisha kabisa.Stress za mpira sio kabisa.

Nipo nasubiria kwa hamu siku CR7 atakapostaafu kwa furaha nipunguze ka puresha

Kuna wengine Tundimu ndiyo ugonjwa wao Binti Mpole this is a free World Haya mambo misambwanda story Tu kama za juma na uredi
 
Jumatano ya wiki iliyopita, staa huyo mwenye umri wa miaka 34 alifunga bao lake la 125 kwenye michuano hiyo wakati alipofunga kwa kichwa matata kabisa Juventus ilipopata matokeo ya sare ya 1-1 ugenini kwa Ajax kwenye mechi ya kwanza ya hatua ya robo fainali.
 
Kwenye historia yao wababe hao wa Ufaransa, ambapo juzi Jumapili walichapwa 5-1 na Lille kwenye Ligue 1, katika mechi za mtoano za Ligi ya Mabingwa Ulaya wamefunga mabao 38 tu na hivyo kuwa miongoni mwa timu ambazo zimezidiwa kwa kufunga na mchezaji mmoja tu, supastaa wa Kireno, Ronaldo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…