Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1555429932460.jpeg
 

Kwa wadaiwa wa bodi ya mikopo, kuna kitu kinaitwa value retention fee ambayo kila mwaka inaongezeka Tsh MILIONI 1. Yaani, kama mkopo wako umebakiza MIAKA 3 basi kuna Tsh MILIONI 3 itaongezeka kwenye deni lako.


Hivi mimi watanipatia wapi kwa mfano??
 
Drake anasingiziwaaaa [emoji345][emoji351][emoji345][emoji351][emoji345]
Hizi tuhuma kuna kipindi zilishawahi kumuandama wakati anadate na Serina Williams,mashabiki wa Serina walidai Drake akienda uwanjani wakat Serina akiwa anacheza bhasi lazima Serina apoteze pambano,,,hivyo hiz tuhuma hazijaanza leo
 
Back
Top Bottom