Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Blue or Purple?
Sielewagi wanapokuwa wasiri wakati wanatamani kufikishwa Kibo wakati wanaijua njia, lakini anakuangalia tu unavyojichoshaKama umeshadeti mzungu utakuwa umeshaona tofauti kubwa iliyopo. Binti wa kizungu anakupa combination zote za kumfikisha mawenzi bila kujichosha na kupotezeana muda. Hawa wa kwetu hawa mawenzi yake ipo kifuani wewe umekazana kuwasha moto huko Kusini. Kuchoshana tu yaani. Wangekuwa wanafunguka kama huyu mbona mambo yangekuwa rahisi tu?
Bado tupo tupo bro, dua zetu sasa Man City apoteze angalau mechi moja tu Epielo ili tuendelee kupigiana kelele[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Liver wanaongea hatari,,dua zangu wapigwe leo na watolewe kabsa.
Halafu anakwenda huko na kuanza kukusema kwa mashoga zake kuwa eti kitandani huna uzoefu. Shwaiiiniii !!!Sielewagi wanapokuwa wasiri wakati wanatamani kufikishwa Kibo wakati wanaijua njia, lakini anakuangalia tu unavyojichosha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lile dua la lubumbashi lilikua la kila mtu kale ka timu dhaifu sana. Hebu piga leo nianze kukuamini