Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anajiamini na anasimamia kile anachokijua.
 
Bro broooo brooo aiseee upo fasta hahahah
 
Sarri ameshindwa kujikusanyia mashabiki kutokana na staili yake ya soka analofundisha, lakini kikosi chake cha Chelsea bado kipo kwenye nafasi nzuri ya kuwapo kwenye Top Four ya Ligi Kuu England huku jana usiku leo Alhamisi walitarajia kuwa mzigoni kwenye robo fainali ya Europa League.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…