Aaah.. He talks.. umepewa ruhusa leo 😀Mbona huko Duniani wanakuona nako huko unahama Mitaa
Duniani huko madomo zege hawakutokei kiholelaholela..Mbona huko Duniani wanakuona nako huko unahama Mitaa
Aaah.. He talks.. umepewa ruhusa leo [emoji3]
Habari za sikukuu
Mi mzima nashukuru..Nimepewa ruhusa!!!
Njema japo nimekula nyama bahati mbaya
Vipi upande wako
Ngozi imezoea michembe na malimbe hii. Brocolli won't do squat...the burden of proof is on you...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani huamini broccoli inaleta flawless skini? kula na wewe 2 weeks unipe mrejesho
Duniani huko madomo zege hawakutokei kiholelaholela..
Humu kila mtu kajificha nyuma ya keyboard.. kila mtu anajiona msupa..kila mtu singo.. wanatest wapi atakubaliwa..
Tafrani tupu!
Sasa kama Auntie ameweka ile mikucha..I hate it when someone tells me "You don't look like you can cook".Am I supposed to braid my hair with vegetables and braai pack [emoji136][emoji136][emoji124][emoji124]
Uyo ni auntie yenu anasema[emoji23]
Mi mzima nashukuru..
Nyama si ni ya ng'ombe/kuku sio ya mtu ili mradi.. Au?
Dogo sijui kawaje?
Hata mimi tayari bro. As long as haimo kwenye kile kitabu kitakatifu we are OK bro...Nasikia ilianzishwa ili kuhimiza ulaji wa samaki na hivyo kuzuia pato la uvuvi lisiporomoke huko Ulaya ya kale na nchi za Skandinavia [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Nimepewa ruhusa!!!
Njema japo nimekula nyama bahati mbaya
Vipi upande wako
🙂You tell me
Ni picha tu, huyu dada ni mjukuu wake.[emoji23] View attachment 1075935
Hata mimi tayari bro. As long as haimo kwenye kile kitabu kitakatifu we are OK bro...Nasikia ilianzishwa ili kuhimiza ulaji wa samaki na hivyo kuzuia pato la uvuvi lisiporomoke huko Ulaya ya kale na nchi za Skandinavia [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1075967