Ndio wapi huko PM?+255777777777777
Ikikataa rusha PM...
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Njema bro, mambo mengi lakini tunamshukuru Mungu.
Bro, bahati haiji twice 😀😀+255777777777777
Ikikataa rusha PM...
Wachaga wanataniwa jamani.. mbona mi nawajua wenye mishepu hiyooo..au wanakuwa ukoo tofauti?
Eti bahati...umejuaje ni bahatiBro, bahati haiji twice 😀😀
[emoji16][emoji16]
Yap..katika ubora wakoNambie jinsia yako kwanza,
Bro tunaelewana.Eti bahati...umejuaje ni bahati
Alikwepa kitabu cha usajili huyu, jinsia yake haijulikani.Yap..katika ubora wako
Mkuu tuambizane tuje tulambe Pilau[emoji16][emoji16]Uzi upi? Sijawahi kufungua uzi kwa issue za Mapenzi.
Nimejiuliza kama bro ulishawahi kumzindua shemela humu halafu mnuso ukanipita. Uwe unanikumbuka kumbuka bro kwenye ishu za muhimu kama hizo [emoji16][emoji16][emoji16]
Labda alikuona akiwa na ID yake ya zamani[emoji16][emoji16]Achana na Fragiria anazingua. Kwanza ID yake ya mwaka huu, sijaandika UZI wowote wa mapenzi mwaka huu.
Inawezekana tumekutana katika conferences, seminars Who knows? We are real people in a real world after all ..Bro tunaelewana.
Ila bahati kuna nzuri na mbaya pia.
BTW: carbamazepine hujakutana naye kwenye pita pita zako huko?