capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Bro, inaonekana nawe una mafyekero bro. Izi zisi truu? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
OMG....+255777777777777
Ikikataa rusha PM...
I thought ukianzisha uzi nia yake ni watu wengi wausome?Kuiona sio tatizo, tatizo ni kwanini umeleta hapa?
Ukiiipata nakupa zawadi hutaisahau maishani mwako..Sina Fyekero Bro,
ID ya kwanza ilitengenezwa 2012.
Niliicha sababu nilitumia Jina la kwanza halisi. Ilkuwa rahisi mtu kuni trace.
Wacha nikutaftie ID ya Fragiria ya zamani.
Nmekuelewa.I thought ukianzisha uzi nia yake ni watu wengi wausome?
My bad !
Sorry ..siweki tena 🤷♀️
Bro hachezeagi bahati aisee..... hapo mtego aliotegwa yeye kauruka alafu kaweka wake kumtega mtegaji..... 😂😂😂 bro wangu huyu ni Jiniaz sanaBro, bahati haiji twice 😀😀
Unataka kunipa nini?Ukiiipata nakupa zawadi hutaisahau maishani mwako..
Utakuwa unatembea kidume unaringa 😀
Mjuzi haswa huyu..Bro hachezeagi bahati aisee..... hapo mtego aliotegwa yeye kauruka alafu kaweka wake kumtega mtegaji..... 😂😂😂 bro wangu huyu ni Jiniaz sana
I won't spoil the suprise..Unataka kunipa nini?
😁😁😁 Ipo juu juu mawinguniMjuzi haswa huyu..
Intelligence yake imekwea pipa
Kwa nini iwe Surprise?I won't spoil the suprise..
Umeng'ang'ana nna fyekero unalolijua...
Sasa sijui ni paranoia or what?
Kuna mtu anafanana na mimi eeh?
Same character?
You get the same feeling eeh?
Au you wish I was her?
Niambie basi ni nani nikusaidie
😁
Nyanda za Juu Kusini is loading [emoji16][emoji16][emoji16]OMG....
PM panapigiwa chepuo hapa
Jizazi.. you don't like suprises?Kwa nini iwe Surprise?
Nimejaribu kufikiria zawadi mbalimbali lakini zote zinaelekea kwenye zawadi moja tu kuu...Ukiiipata nakupa zawadi hutaisahau maishani mwako..
Utakuwa unatembea kidume unaringa [emoji3]
Mmmm.. Spain au Paris mie mwanawane!Nyanda za Juu Kusini is loading [emoji16][emoji16][emoji16]
Mikwara mingine bwana ...
Jizazi.. you don't like suprises?