Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahahahahahahah, haya bro.Sisi wengine tumechukua mmoja TU hivyo uwiano utaongezeka 😀😀😀
Nyie fauduni tu kwa sababu hakuna namna...na Alaumiwe aliyeanzisha haya mambo ya monogamy...Dini yangu ingekuwa inaruhusu ningetaka hata nusu dazeni wallahi kama mzee mmoja kule kujijini kwetu...

Huwaga nafikiria sana Mfalme Suleiman alivyoweza kuwamudu wote mia saba na mancubine 300.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…