Wajinga,wapuuuzi,mambulula na matusiiii yoooteeee yawafikie wenye tabia hio. Wanaboa sana
ahahahaha bro banaHehehe! Nilikuambia yale maneno yake alikua na lengo la kunitoa mimi mchezoni tu maana kiuhalisia yeye huwa haachii mabinti.....
#broisginiaz
Labda anadhani hiyo nyama ni kibudu,[emoji16].Bro anavyoikataa hiyo nyama [emoji16]