Ee kama wewe
Sing
The secret life of pets
Kabisa, matusi yote ya duniani yawafike vyaumbea wote wanaotangaza mambo ya faraghaniWajinga,wapuuuzi,mambulula na matusiiii yoooteeee yawafikie wenye tabia hio. Wanaboa sana
Kwanini bro?Daaah bro uko vizuri
Washamba sana halafu ukute watumia mchina hao wenye simu orijino hawana ulimbukeni huo hahahaahahKabisa, matusi yote ya duniani yawafike vyaumbea wote wanaotangaza mambo ya faraghani
Kwanini bro?
wetu hakuna maaarufu banaBinti Mpole humu umaarufu tumeupiga marufuku