Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole pole bro.....

Nenda kwenye ule uzi original uone kulivyowaka...Ila inafurahisha. Mabinti kama watatu hivi wamesimama kidete kumpigania mwenzao ili asidhalilishwe...na wamefanikiwa. Jamaa kabadilisha mafyekero mpaka amechoka...
Nimeona bro wakina Malaika wa giza wameshupaa sana wakitetea pesa ya boda boda ilipwe 😁😁
 
Nyingi kati ya hizo nimeangalia bro nashindwa kuangalia zote japo ninazo. Muda
Aisee. Kati ya watu wavivu kuangalia movies ni mimi. Nilizoangalia naamini hazizidi 10 japo nina collection nzima ya James Bond, Schwarzenegger (mwanzoni mwanzoni) na chache inspirational na Classics kama Lean on Me na The Good, The Bad and The Ugly...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…