Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiii
 
Girls be like " I hate random guys to PM us" but when they spend 30 minutes without receiving a message!

They start to refresh thinking it's a network error, they even get a "malicioustopolorolisujgdalus" multi- purpose disorder in their heads
 
Duh aiseee kumbe bro.

Basi hii sauti ipo kila mahala. Siwezi kuchukua kitu cha mtu bila mwenyewe kujua nikichukua napata maswali je nikitendewa hivyo nitafurah ama
 
"Na iginoa listi ni ushahidi tosha kuwa you have guts and you stood for something"...
 
Duh aiseee kumbe bro.

Basi hii sauti ipo kila mahala. Siwezi kuchukua kitu cha mtu bila mwenyewe kujua nikichukua napata maswali je nikitendewa hivyo nitafurah ama
Golden Rule. Hii ndiyo kanuni kuu na kama tungeifuata hata kwa nusu tu dunia hii ingekuwa paradiso. Shida yetu kuu ni ubinafsi...

Sasa imagine kuna watu wamekuwa sugu mpaka hiyo sauti hawaisikii tena. Ukikutana na mtu wa hivyo we andika maumivu tu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…