Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna pengo aisee mtu mliyemzoea akiondoka. Jirani yuko sahihi anaposemaga kuwa kila mtu ana umuhimu wake. Carba ameacha pengo kubwa sana. Tofauti zetu hizi ndizo zinaukamilisha uzi huu...Heee mwezi mzima aiseee tutapwaya humu..carb rudiiiii
AmeenMungu atupe jioni njema
Mzigo huo
AmeenKuelekea jioni
Mungu atupe afya na uzima
aiseee..Mabinti wangapi hapa mnaweza kubadilisha tairi mkipata pancha?
View attachment 1080937
Unabebeka huu kweli jirani?Mzigo huo
huo haubebeki mkuu.. labda mbunu ingine ππUnabebeka huu kweli jirani?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji109][emoji109][emoji109]huo haubebeki mkuu.. labda mbunu ingine ππ
π’π’π’ Inasikitisha sanaAt that moment, some of my sadness disappeared but I still cried in front of everyone.β
Aiseee.. kutishaHatari sana wallahi [emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1080961
HahahaView attachment 1080326ππππ
myoyambendi hizi comment zako zinazoanzia neno poleni zinanichekesha sana.Poleni wakulima wote