[emoji16][emoji16]Ama kweli, JF tambarare! [emoji1][emoji1]
Usimfanyie hIvyo my future wife tafadhali, She is all I need.Who has been hurting capitalpool jamani..
Huyu "Mai fyucha waifu" huyu ...
Bado hujapeleka ile mahari kwani?
Shukrani kingine Unaweza kunisaidia huyo twiga kwenye Avatar yako mkuuChukua best, ukiwa hapa omba kingine si likes
Kwani wewe uko nchi gani tena ?
Salaam mkuu.
Michembe ni chakula gani kiongozi
Kutoka kwa mwenyekiti wa CHACHAWA, this means a lot [emoji16][emoji16][emoji16]Huo ni muelekeo wa kuwa domo zege! [emoji23][emoji23][emoji23]
Asilete mchezo kabisa wa kututesea kijana wetu..apokee tu hiyo mahari hamna namna.Usimfanyie hIvyo my future wife tafadhali, She is all I need.
Aah huko ndio unasomea ile pihechidiii yetuJamhuri ya Muungano wa Tanzania, nazungusha Murutunguru hapa; karibu na mji unaitwa, Nansio! Nyie watoto wa Maikocheini/Masaki na Oyistabei sijui kama mnaufahamu huo mji! Chakula chetu kikuu ni ugali wa mhogo/udaga na samaki aina ya furu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Kutoka kwa mwenyekiti wa CHACHAWA, this means a lot [emoji16][emoji16][emoji16]
Tukitaka kunyandua tunapanda ndege kwenda kula bata kwenye hoteli zenye nyota tano huko Nyanda za Juu Kusini. Siku tukija kuonana laivu mpaka soli za viatu zilishasagika hata nauli ya daladala ni ya shida; na TECNO iliyochoka balaa...Jf hawapo wa huko..
Humu wote tunasoma further studies Mamtoni...wakati biashara zetu zikiendelea Bongo
Si ulisema huiangaliii hiii?The best fucking moment!
In the name of the warrior,
I charge you to be brave.
In the name of the father,
I charge you to be just.
In the name of the mother,
I charge you to defend the innocent.
Arise, Brienne of Tarth, A knight of the seven kingdoms.
View attachment 1082109
#GameOfThrones
Kumbe na wewe hujui?Salaam mkuu.
Michembe ni chakula gani kiongozi
Picha zipi tena Frag,Asilete mchezo kabisa wa kututesea kijana wetu..apokee tu hiyo mahari hamna namna.
Kwani zile picha zako aliziona kweli?
Shukrani kingine Unaweza kunisaidia huyo twiga kwenye Avatar yako mkuu
Aah huko ndio unasomea ile pihechidiii yetu
Na samaki furu yukoje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Ni viazi hivyo mkuu. Mtafute SYB, anavijua vizuri sana huyu!
Lini nilisema?Si ulisema huiangaliii hiii?
Dah..aiseeLini nilisema?