Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
PM eeeh!?Hayo nilizungumza hapa ama PM?
Tena ya Elektriko Injiniaringi ng'wanawane...[emoji16][emoji16][emoji16]
Ni viazi vinachimbwa. Vinaanikwa juani mpaka ule utomvu utomvu uishe. Ukishaisha vinamenywa halafu vinakatwa katwa slices na kuanikwa tena juani. Vikishakauka vinahifadhiwa na wakati wa kiangazi vinachemshwa na vikilainika vinasongwa mithili ya ugali. Wanyamwezi wao huvipika kwanza vikishamaliza utomvu na kisha kuvikata kata slices na kisha kuvianika juani. Hivi huitwa Matoborwa na ndiyo asili ya jina Tabora.
Michembe na Matoborwa unaweza kuvila asubuhi na chai au mchana pamoja na maziwa ya mgando. Ni mojawapo ya vyakula safi kabisa na ni dozi tosha dhidi ya ukimbaumbau hasa vikiliwa pamoja na maziwa mgando. Mwezi hautaisha utaona Kakimbaumbau (hata kawe kamekongoroka namna gani) kameanza kuota shavu laiini na hata kuchomoza kimsambwanda cha kishikaji shikaji dizaini fulani hivi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Wazaramo tumekukosea nini mkuu 🤔🤔Wasukuma na Wanyamwezi ni wachapakazi mkuu na wanavilima. Mambo ya kuokoteza chakula msituni kama wakati wa ukame hayo mambo waachie Wazaramo na huko pwani...
Itabidi kutembeza viboko tu sasa wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Ambae hatakuelewa hapa basi tena! [emoji23][emoji23]
Waulize wenyeji wa humu watakuelewesha. Hamfai hata kwa kurumangia wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]. TRM...[emoji36][emoji36][emoji36]Wazaramo tumekukosea nini mkuu [emoji848][emoji848]
Sema tuu...Tukiwa tunapita holidei mitaa ya huko tukusabahiSiyo kweli poti. Hapa Nansio ni uvuvi Kwa kwenda mbele.
PM sijawai kuongea habari za GoTTufanye ulizungumza PM
Itabidi kutembeza viboko tu sasa wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Sikumbuki Bro, umri umeenda hata hivyo .. mambo ni mengiPM eeeh!?
Huu ubaguzi wallah kama tungekuwa wabaya dar ingejaa wageni mkuuWaulize wenyeji wa humu watakuelewesha. Hamfai hata kwa kurumangia wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]. TRM...[emoji36][emoji36][emoji36]
Unakwenda kumsabahi mgumu mwenye ugumu ili iweje? Westeji ofu nachuro risosis ende taimu. Si afadhali angalau uje kunisabahi mimi huku ugumu wangu una kaulaini laini? [emoji16][emoji16][emoji16]Sema tuu...Tukiwa tunapita holidei mitaa ya huko tukusabahi
Ni kweli. Mambo ni mengi muda ni mchache kamanda...Sikumbuki Bro, umri umeenda hata hivyo .. mambo ni mengi
Akitembea anaburudisha.Twiga ni mnyama ukimuona LIVE unaweza umuote! Ana maringo, anatembea huwezi kuacha kutizama.
Sijui Steps zake anafanyaje? Nilivutiwa sana na huyu mnyama.
Usichukulie siriazi ukaishia kukwazika bure. Ngoja nikuitie Mzaramo Mwenzio aje akueleweshe kuhusu "bifu" langu nanyi. Nakazia tena Hamfaiiii !!!Huu ubaguzi wallah kama tungekuwa wabaya dar ingejaa wageni mkuu
Sawa Mkuu...PM sijawai kuongea habari za GoT
Simba anaweza kumuuwa TwigaAkitembea anaburudisha.
Mguu wa mbele kulia ukitangulia unaenda sambamba na mguu nyuma kushoto hivyo hivyo na mguu wa mbele kushoto na wa nyuma kulia.
Akikimbia huwa tofauti, miguu ya mbele huenda pamoja na nyuma pia.
Lakini kubwa ni ile shingo yake ya maringo wakati wa akitembea.
Na namna anavyoweza kumvunja mbavu Simba kwa mateke yakeView attachment 1082118
Mimi sio mzaramo Natania mkuuUsichukulie siriazi lakini ukaishia kukwazika bure. Ngoja nikuitie Mzaramo Mwenzio aje akueleweshe kuhusu "bifu" langu nanyi. Nakazia tena Hamfaiiii !!!
Nakutania ..Sawa Mkuu...
Sawa. Umepona ghadhabu zangu [emoji36][emoji36][emoji36]Mimi sio mzaramo Natania mkuu