Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23]... Eti ziara ya Fragaria! Mashaka gani tena poti? Nitautetea na kuupigania Uenyekiti wangu mpaka kieleweke. Mwenyekiti haondolewi kimchezo mchezo, Stock Market itayumba!
Aisee. Kishumba. Lugha gani hii bro?Ahsante sana bro.Hili na mimi nilikua sijui.
Kwa maelezo yako hizi Michembe/Matoborwa sisi kwetu wanaita Kishumba.
CEO wa Boeing akiondolewa si ajabu stocks za Boeing zitapanda. Mark Zuckerberg wanakazana kumwondoa na siku akiondoka si ajabu stocks za FB zitapanda. Na wewe usije kushangaa siku tunakuondoa stocks za CHACHAWA zikaweka +rekodi. Kama una mapenzi na CHACHAWA unaweza kujiengua uenyekiti mapema bila kuleta madhara makubwa.
Sio mimi mkuu na uzee wangu huu huyo damu changa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ule niliuona kwenye group la whatsapp nikakukumbuka.Ni kwa ajili ya kufurahia tuu bro.Bro. Hivi ule mkasa wa Msukuma aliyebeba school bag badala ya parachute kutoka kwenye ndege siku ile uliutoa wapi? Niliishia kucheka kimya kimya tu na kujisemea kwa huzuni "Hata bro huyu mpole naye?"
Haina neno bro [emoji109][emoji109][emoji109]
Vikorola tunayo mengi sana
Najua bro...Ule niliuona kwenye group la whatsapp nikakukumbuka.Ni kwa ajili ya kufurahia tuu bro.
Mmekuwaje?Bradha ..tumekuwa
Vikorola tunayo mengi sana
Vikorola tunayo mengi sana
Wapare hao 😎.Aisee. Kishumba. Lugha gani hii bro?
Vikorola tunayo mengi sana
Sawa bro...Wapare hao 😎.
Hizi story za ubahili sio za kweli, wabahili wapo ktk makabila yote broSawa bro...
Wewe ni Mpare wa tatu sasa katika uzi huu. Kuna mmoja alioa dada yetu akagoma kutoa mahari sababu ya ubahili nikapambana naye mpaka akasarenda [emoji16][emoji16][emoji16]