Jizazi. Mbona tena unaniharibia? Nakifukuzia cheo cha Uenyekiti wa CHACHAWA kwa nguvu zote. Mwenyekiti anajifanya wa kudumu utafikiri Mbowe au Momose. He must go !!![emoji16][emoji16][emoji16]Bro hauna uanachama kwa wagumu. Wewe ni chawamita na juzi ulikua nyota tano kusini shahidi Davet
Unavyoniharibia dah!Usimpokee kabisaaa juzi alikua kusini nyota tano akila maishaaa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jizazi. Mbona tena unaniharibia? Nakifukuzia cheo cha Uenyekiti wa CHACHAWA kwa nguvu zote. Mwenyekiti anajifanya wa kudumu utafikiri Mbowe au Momose. He must go !!![emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unavyoniharibia dah!
Ila sawa tu haina neno [emoji24][emoji24][emoji24]
Itabidi tukigawane chama. CHACHAWA Poti na CHACHAWA SYB. Wanachama wataamua wanakotaka kujoini ...Halafu anataka eti nimpokee tena kwenye Chama, no wei! You’re ineligible, Bro! Sorry. [emoji23][emoji23][emoji23]
Lipumba mbona cha mtoto? Labda Mrema...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila chama gani utaongoza mwenyewe kama lipumba,mtupiemo moud humo au mzee wa liver(ila huyu kwa kuonja ni shida mtakua mnasuluhisha migogoro kila siku)
Moud ndo hakuna kitu kabisaaaa. Tunaojua kusoma code tunajua. Cheo hicho ni changu hata mfanye nini wallahi !!!Ngoja basi itabidi nipitie mafaili ya moud. Ila yule home boy, mzee wa Liver sidhani kama anaweza kupita kwenye mchakato! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzinduzi wa tatu loading....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na davet muwekemo ila andaa suti ya kuvaa siku ya uzinduz hachelewi kuzinduliwa
Chama anakiendesha kwa siri utafikiri Vatikani. Aachie ngazi !!!Aah na wewe wekamo watakaokichangamsha chama,raha ya maisha drama za hapa na pale[emoji23][emoji23][emoji23]
Naipandia ndege nini?Anaipandia ndege kabisa