Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh !!!

Jiwe katuharibia sana dadeki. Tunachukiwa na kila mtu. Ningekuwa najua kabila lako ningehamia huko wallahi. Naona nitakwenda kwa Bradha. Acha tu niwe Mpare. Au Mnyiramba kwa Ninge [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahah bwana J kaharibu kila kona.

Kwa uniq hapafai ,unaweza kula ugali kwa picha ya samaki?
 
XAVI

Xavi ni zao la akademi ya Barcelona ambayo inafahamika kama La Masia , kiungo huyo wa Kihispania ‘maestro’ alipandishwa kwenye kikosi cha kwanza msimu wa 1998/99.

Akiwa na kikosi cha kwanza ametumia miaka 17, Nou Camp ambako kumemfanya kuwa mmoja wa wachezaji bora ambao wamewahi kutokea kwenye klabu hiyo.
 
Xavi aliwahi kubainisha kuwa kocha wa zamani wa Manchester United, Louis van Gaal, 2014 alionyesha nia ya kumsajili lakini aliamua kuongeza mkataba wa kuendelea kuichezea FC Barcelona kwa hiyo maestro huyo aliukwepa mtego wa EPL.
 
ANDRES INIESTA

Huenda Iniesta ndiye angekuwa mchezaji wa kwanza kutua Manchester United pindi David Moyes alipopata kibarua cha kuinoa klabu hiyo.

Dili hilo lilishindikana na kiungo huyo aliendelea kuichezea FC Barcelona kwa misimu kadhaa mbele kabla ya kwenda kumalizia soka lake nchini Japan akijiunga na klabu ya Vissel Kobe.
 
ZINEDINE ZIDANE

Huwezi kuamini lakini ukweli ni kwamba Zinedine Zidane alikataliwa na kujiunga na Newcastle. Zidane ambaye ameshinda karibu kila taji kubwa kwenye uchezaji wake soka naye hajawahi kucheza soka nchini England.

Mchongo ulikuwa hivi unaambiwa, 2010 ajenti wa Newcastle, Barry Silkman alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kumsajili Zidane kabla ya kujiunga na Juventus, kilichokwamisha dili hilo ni kuchelewa kwao kuiweka mzigo mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…