myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hahaha 😁Jizazi. Mbona tena unaniharibia? Nakifukuzia cheo cha Uenyekiti wa CHACHAWA kwa nguvu zote. Mwenyekiti anajifanya wa kudumu utafikiri Mbowe au Momose. He must go !!![emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweliEsta, raha ya maisha ni mshike mshike mvutano. P button😀😀😀😀😀
Kwema kabisaNaona Mada hii uletwaji wake umekuwa na uzito kidogo kwema
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uzinduzi wa tatu loading....
Wakimpa huyu na makao ya chama yahamie Mwanza kabisa iki tujue moja.
Mechi hii Man U na Chelsea miaka ya nyuma ilikuwa big match sana not this seasonPole sana Mkuu timu ndogo hazina guarantee kwa mpira wa kukaa nyuma huwezi kuwapa dhamana
Hahahahamzee wa liver yupo kwenye sala nzito sana kuwaombea Burnley wasawazishe hili goli na labda kuongeza lingine.[emoji12][emoji12][emoji1431]
HahahahaHahahahaha pole sana angalia usizijeruhi Mkuu bado zinahitajika.
Nipo nawaangalia hapaWale wa UNITED twendeni, kikao kimeanza!
Ndio waziri wetu huyoView attachment 1083426
Tell me what u see [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa nimekuelewa ila boss wenu mchafu vuzi kama lote kwenye video. Kumbe ndio maana vijana wanamchezea na kusepa.Hebu kwanza nikuulize hio video mara ya kwanza kuiona lini?je mwaka 2000 zari alikua mzee?juzi kati hapa ilivuja video ya nandy akishikwa tako uliiona?kama haukuiona ipite miaka saba uje uione uanze mlaumu nandy mzee anataka kuwa mtoto aiseee
Nimeweka utimu pembeni. Maji yakimwagika hayazoleki,video alivujishiwa ulitaka ajinyonge muda ule ule au ajiondoe mitandao yote ya kijamii. Je Zari ni mzee pekee mtumia mitandao ya kijamii afrika nzima?
Kama sisi klop alipokuwa analazimisha mido ya Gin,Hendo,Milner imetukosti sana JanuaryHuyu jamaa ni hatari sana mzee, Ile game ya CL pep alimpiga bench akamuanzisha Mahrez basi ndipo alipokosea hapo