Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Man U wakishinda wanasogea
 
Sawa nimekuelewa ila boss wenu mchafu vuzi kama lote kwenye video. Kumbe ndio maana vijana wanamchezea na kusepa.
Vuzi lina faida zake ngoja nije nilete topic yake hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]raha ya mahaba unyolewe vuzi na baby. Vuzi sio uchafu. Halafu huwa mnamuita malay mdangaji sasa jaman atapata muda wapi wa kunyoa.Anyway vyovyote tu mie napenda lifestyle yake,vuzi na papa yake imemletea vyote hivyo alivyonayo.

Wanaomchezea wanamuachia nyumba,college,migari ya maana,minguo ya ukweli,watoto handsome. Power of vuziiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

SWALI JE???????????BILA PAPA WANAWAKE WANGEKUA NA MAENDELEO WALIYONAYO LEO? WANA CHAWAMITA NAOMBA JIBU.
 
Jizazi. Mbona tena unaniharibia? Nakifukuzia cheo cha Uenyekiti wa CHACHAWA kwa nguvu zote. Mwenyekiti anajifanya wa kudumu utafikiri Mbowe au Momose. He must go !!![emoji16][emoji16][emoji16]
Mwenyekiti Yegomasika hana mshindani, anatosha.
Kamanda kwa lile tukio ambalo Davet ana ushahidi nalo ni heri urudishe na kadi yenyewe[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
🤣🤣🤣🤣🤣Numbisa we hapa kwenye huu uzi sitaki tujibishane kwa kweli umenichekesha so Kumbe Power ya vuzi imepelekea anunuliwe nyumba kama ni hivyo power of vuzi ipatie ndoa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mada nzuri nitachangia baadaye naangalia Manure na chelshit FT nitachangia hii mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…