Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh !!!

Jiwe katuharibia sana dadeki. Tunachukiwa na kila mtu. Ningekuwa najua kabila lako ningehamia huko wallahi. Naona nitakwenda kwa Bradha. Acha tu niwe Mpare. Au Mnyiramba kwa Ninge [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna hiyo kamanda, unaruhusiwa kuhama chama cha siasa na dini, lakini kabila lako litabaki hilo hilo[emoji849][emoji57][emoji57]
 
Hahah hicho Chama mimi sikitaki labda mzee mwenzangu Ninge, kwanza members wengi wa hicho Chama ni members wa chama kingine kinaitwa CHAPUTA
Duh !!!

Ina maana memba wengi wa CHACHAWA pia wako CHAPUTA? Hii kali aisee [emoji16][emoji16][emoji16]

Mwenyekiti njoo ujibu tuhuma hizi za hovyo !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…