Punguza uoga mkuu,Yaani comments zote aione yangu haiwezekani. Muhusika akija mim sipo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu Kwani una ugomvi na huyo dada mbona anaonyesha kukuogopa?
Jf ukiwa muoga hutaiweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha uoga jifunze kuwa ngangari kinoma noma.
Ugomvi wa maneno usikupe shida, ungekuwa ugomvi wa kuonana na hatimaye kurushiana ngumi.Mimi kwenye ugomvi siko ngangari kwa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]labla unisaidie
Hahahaha.Hii itakua ofa maalumu kwa ajili yako tuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaaHahahaha.
Naona umepewa "power of attorney" ya kuingilia ugomvi wake
Hahaha, umepata bodyguard [emoji23][emoji23]Nakuaminia kamanda ngoja nitembee kifua mbele
Ina maana huko kijiweni kwenu unapata kiki kwa kumponda Zari ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila kule pengine kampondee zari utakavyo ili usijekosa mashosti humu.
Sana kila mtu anajidaisha anamchukia zariIna maana huko kijiweni kwenu unapata kiki kwa kumponda Zari ?
Hahahaha [emoji16][emoji16][emoji16]Umtu poa wake sisi unatuhusu nini? Unafikiri huko kwenye mbuga za wanyama anaendaga peke yake? Hebu mtuwache watu tusije tukafunguka hapa mkaishia kushangaa [emoji2221][emoji2221]
Hahahaha, twataka tuone kideo cha da Zari [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] safi sana wazee wa kazi
Nzuri za kwako