mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hata mm nimeshangaa kwa kweliMbona leo unagawa shikamoo hovyo hovyo? Kuna nini? Mpaka Poti andaeitini huyu aliyeukwaa uenyekiti wa CHACHAWA kwa bahati tu kweli unampa shikamoo?
Hahahaha hata akiwa anda 18Kwetu Wenyeviti huwa wanaamkiwa
Hahahaha hapo sawaCHACHAWA
PO BOX 010101
Nansio-Ukerewe.
Tanzania.
Fax # 1-800-YES-YEGO
Hahahaha mkuu mkuu Village elder bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona sasa hv kishatengeneza juice ya yale mayai maana sio kwa kuyaminya huko
Yap supersonic speedAisee.. vidole vinauma kulaiki .. kasi leo ni ya 4G hii ilikuwa
Kuna kipindi inabidi kukiepukaKwakuwa kila kitu tumeweka kwenye siasa tunalazimika kuweka imani zetu kwa baadhi ya watu hawa.
Hakuna nanma ya kukiepuka kikombe cha siasa
20hrs ago nagong likes leo vyura wanacheza mida hii ni muda wa kigonga likes tuUkipotea kidogo ukarudi unajikuta na madeni kibao
Amun RaKulikuwa kumechangamka sana. Asante kwa roho hiyo njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Watu walianzisha Uzi kudis Uzi wetu watashindana lakini watashindwa Uzi uko ngangari kinomaMods please tunaomba kitufe cha Auto like
The one and only mm ndiye Mume wake lazima anisikilizeMalaika hawezi kuelewa somo lako hata kwa bakora [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna upepo watu Fulani tukiwepo speed inaongezeka nakumbuka mwanzo wa huu Uzi tulikuwa tunakesha na likes hila malkia wangu ni noma anatype kwa speed hatari hakika yule ni goddessSijui watu leo wamekunywa uji wa wapi
Safi sanaMimi nadhani nimekwenda sambamba na kila mtu leo...burudani tosha !!!
Yaani nateseka sanaHahah utahama sana timu mpaka ligi iishe
Hahahaha mkuumzee wa liver mtu wa deals
Amun RaAmun Ra
Hahahaha hii mada tuliizika rasmi siku ya kufukua makaburi badoJamaa amejizolea umaarufu wa kutupa hapa JF kutokana na tukio lake kwenye hoteli nyota 5.
Tuishie hapo mkuu>> ndukiii[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wapi mchina mweusi
Sijaona hilo mkuuKule FB wameamua kumpa za uso dikteta wa Ikulu.
Alitamani kuwa padre yanatoka moyoni kweli hayoNilitamani kuwa Padri sijui nilikosea wapi- JPM
Amun RaMungu awafanyieni wepesi mkuu