Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mzee baba? Ndo imeshatoka hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]Mzee baba
Kwema lakini? Juzi ulisalimika?
Mzee baba? Ndo imeshatoka hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]Mzee baba
Nilimfafanulia juzi. Haijui [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Bro unaijua michembe?? Aisee
Niseme nimeisikia humuhumu, M/kiti wa CHAWAMITA alifafanua hapa.Sijawahi kuiona.Bro unaijua michembe?? Aisee
Hahaha aisee itakuwa safi sana,maana harakat zake nyingi nimezishuhudia,kwel atafutae hachok..[emoji16][emoji16][emoji16]Mzee baba? Ndo imeshatoka hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema lakini? Juzi ulisalimika?
Pombe zimeanza kumshinda. Wahenga itabidi tufanye kikao. Juzi sijui kwenye mechi gani alisema eti ameminya kende timu mojawapo isishinde. He is changing...fast !!![emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa liver bhana,,hii itakuwa ilikuwa K69 vodka mkuu
Hapo sawa broNilimfafanulia juzi. Haijui [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahaha aisee itakuwa safi sana,maana harakat zake nyingi nimezishuhudia,kwel atafutae hachok..[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema bro,habari ya kwako?
Nilitoka salama salimini bro[emoji16]
Numbisa hajui kupika michembe. Yeye ni bingwa wa ebitoke - chakula cha kwao !!![emoji2221][emoji2221][emoji2221]Nimekupata vizuri bro,, Numbisa huwa anaandaa kwa wingi sana hii michembe[emoji23][emoji23]
Si ajabu hiyo simu unayotumia imetengenezwa kutokana na mahesabu ya vipeo na vipeuo [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi ile topic ya vipeo na vipeuo sasa hivi inatusaidia nini katika maisha yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ilikuwa Man City Vs Bunley,,niliiona hii,,tuombe Liverpool afike mbali kwenye Uefa,,tutaona mengi zaidi ya hii ya NBA hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Pombe zimeanza kumshinda. Wahenga itabidi tufanye kikao. Juzi sijui kwenye mechi gani alisema eti ameminya kende timu mojawapo isishinde. He is changing...fast !!!
Welcome to Jamaica
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupuyanga ndio harakat zenyew hizo broNi Harakati au kupuyanga? Kuna tofauti kubwa[emoji16][emoji16][emoji16]
Huku kwema bro. Nafurahi kusikia kuwa ulitoka salama. Hongera!!!