Hamna sidhani, labda kama ananichezea akili 😀 na awe na ID mbili.Itakuwa ndio mimi [emoji3][emoji3]
🤔Hamna sidhani, labda kama ananichezea akili 😀 na awe na ID mbili.
Siku unaendelea vyema karibu kupalilia nanasi
Ahsante sana, umenishtukiza naomba ukikaribia kuvuna uniambie mapema 😀.Siku unaendelea vyema karibu kupalilia nanasi
Hahaha wew shida hutakiAhsante sana, umenishtukiza naomba ukikaribia kuvuna uniambie mapema 😀.
Umenishtukiza kama vipi nije kesho, hhahahaHahaha wew shida hutaki
hahahahahhhaaha, hizi mambo tunacheka ila hali ni mbaya sana nowadays.
Itabidi nisome magazijuto: Nimetumia calculator nafikir nimepata leo: 23
We sio mkulima yaani unachagua siku za kulima 😀😀😀Umenishtukiza kama vipi nije kesho, hhahaha
Hamna, wewe nikikuambiwa uje huku sasa hivi tuanike michembe utaacha hayo mananasi uje?We sio mkulima yaani unachagua siku za kulima 😀😀😀
AMUN RA