Haha hatari sana mkuu,huwez mridhisha kila mmojaShabiki hajawahi kuridhishwa akaridhika. Hahah
UNIVERSE TAKE CONTROL
Mzee babaThank You very Much Love. Nakupenda sana.
Mzee wa liver utakuwa ulikuwa big fan wa LA basi,kwa miaka ile vijana wengi walikuwa wanawashabikia Rodman na MJ hakuna mfanoIpo kwenye damu kabisa cha ajabu wakati Chicago bulls wako kwenye peak kabisa wakichukua back to back NBA titles, Michael Jordan,Scottie Pippen,Deniss Robman ,mm my favor team ilikuwa Lakers only
Aseee, kabla ya tendo inabidi kwanza tupekuane[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]Aiseeee [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1084341
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1084199
[emoji106][emoji106]Heshimu sana wale wachache wanao ona madhaifu yako na kukwambia ukweli bila hofu.
Uishi kama walivyo tena??Ukitaka kuishi vizuri na watu, jaribu kuishi kama walivyo na si kama Ulivyo
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa liver bhana,,hii itakuwa ilikuwa K69 vodka mkuuMkuu nilikuwa pazi uwanja wetu gymkana pale wameweka hoteli sasa hivi long time mother fu***
Shukrani mkuu,Nimemaliza viporo.Jana uzi ulikimbia sana.
Mpaka siku watakayokutana, Zipigwe kavu kavu[emoji16][emoji16]Huu ugomvi utaisha lini?
View attachment 1084376
Kwema bro.Shukrani mkuu,
Vipi kwema lakini bro
Bro unaijua michembe?? AiseeHamna, wewe nikikuambiwa uje huku sasa hivi tuanike michembe utaacha hayo mananasi uje?