Hahahah sitaki kuamini hii kama Esta ni wa ebitoke,huyu ni mzuri wa kuandaa swalu,nsasaNumbisa hajui kupika michembe. Yeye ni bingwa wa ebitoke - chakula cha kwao !!![emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Na kuondoka kwa malkia wake The One and Only One Amun Ra where is my queen anayeogopa asimnyime unyumba si ajabu pia kunachangia mabadiliko haya ya tabia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ilikuwa Man City Vs Bunley,,niliiona hii,,tuombe Liverpool afike mbali kwenye Uefa,,tutaona mengi zaidi ya hii ya NBA hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi ulimwambia kuwa hapo atakuwa anapiga k vant,akasema mkuu k vant unamkosea heshima bora useme Konyagi nilicheka sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mpe ukatibu huyu, si unaona?🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Welcome to Jamaica
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja tusubiri broNa kuondoka kwa malkia wake The One and Only One Amun Ra where is my queen anayeogopa asimnyime unyumba si ajabu pia kunachangia mabadiliko haya ya tabia.
Liverpool watakapokipiga na Barcelona itakuwa burudani tosha. Makende sijui yatakuwa na hali gani [emoji16][emoji16][emoji16]
Na mapato pia ya kwake kwenye hilo jukwaa lake?Muda wote huu wakati akifanya makubwa, mashabiki wa Liverpool waliamua kumpachika jina la ‘King Kenny’ wakimaanisha ‘Mfalme Kenny’. Kama vile haitoshi, mwaka 2017, Liverpool waliamua kumpa jukwaa moja pale Anfield kama heshima kwa ajili yake. Jukwaa hilo linafahamika kama ‘King Kenny’. Anabakia kuwa mmoja kati ya watu wanaoheshimika zaidi Anfield kwa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 100%Mlo wa mwanaume....
View attachment 1084323