Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Alifunga bao la ushindi katika fainali za Kombe la FA mwaka 1970 huku pia akifunga bao katika pambano la fainali Kombe la Washindi dhidi ya Real Madrid mwaka uliofuata. Mashabiki walimpachika jina la ‘The King of Stamford Bridge’ yaani mfalme wa uwanja wao wa Stamford Bridge. Mpaka leo kuna mnara wake nje ya uwanja wa Stamford Bridge.