Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alifunga bao la ushindi katika fainali za Kombe la FA mwaka 1970 huku pia akifunga bao katika pambano la fainali Kombe la Washindi dhidi ya Real Madrid mwaka uliofuata. Mashabiki walimpachika jina la ‘The King of Stamford Bridge’ yaani mfalme wa uwanja wao wa Stamford Bridge. Mpaka leo kuna mnara wake nje ya uwanja wa Stamford Bridge.
 
Andy King (King Andy)

Jina lake halisi ni Andy King. Jina lake halisi ni Andy Mfalme. Mashabiki wa Leicester City wanampenda jamaa huyu ambaye kwa sasa hana uhakika wa nafasi yake pale klabuni na amepelekwa katika kikosi cha Derby County kucheza kwa mkopo chini ya kocha, Frank Lampard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…