Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Taarifa zinazobainisha ni kwamba mashabiki hawakufurahia uzuri wa jezi hizo bali walifurahia tukio la kumwona supastaa wao wa nguvu akihusika kwa asilimia mia katika utambulisho huo na kuamini atabaki kwenye chama lao kwa msimu mmoja zaidi.
 
Mastaa wengine walionekana kama wanamitindo wa kutambulisha jezi hizo mpya ni N’Golo Kane na Ethan Ampadu, lakini Hazard akionekana kuwa ndiye steringi wa tukio hilo, jambo lililowafanya mashabiki kutumia kurasa zao za Twitter kuzungumzia jambo hilo kwa furaha kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…