Ungekunywa maji tu bro[emoji2][emoji2] hii ulifunga kula pekeeNilishawai kuamka saa moja asubuhi alafu daku lilikua limesimama sana hiyo siku basi nikaona usinitanie, nililitafuta giza kwa nguvu zote kwa kufunga madirisha kwa mapazia mazito. Giza lilivyotokea nikala alafu nikalala tena
Msuku kwenye ubora wake[emoji2][emoji2][emoji2]
Hahaha umeona ee
#oaupatememasiku30biladhambi
Ni #kunywauji
#kimdabuomatata
#kupigamasagampakakoolisemeuwiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mambo ya kt sioKumbeee
#uzinduziulistahili
#wawilitayaribadommoja
#opssmkenyakeshatimizaidadiyawatatu
Wasalimie wambie shangazi anawapa hai.Hawajambo[emoji23][emoji23]
Weekend kwangu ni SafiNjema, habari za weekend
ππππ[emoji2][emoji2][emoji2]
Sehemu inaonekana ina upepo mzuri sana
[emoji120][emoji120]Karibu mgeni mwema,Mtukufu Ramadhan waislamu fungeni,Mpate Afya njema [emoji287][emoji287][emoji287]
Mambo vp Hawachi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Safi kabisa hivi uliniahidi utaniletea tende kwa niaba ya mwenzi Mtukufu naona kimya ππMambo vp Hawachi
[emoji2][emoji2]hiyo ahadi bado naikumbuka Hawachi,ngoja mfungo uanze,tende utapata kama ilivyo ada[emoji2][emoji2]Safi kabisa hivi uliniahidi utaniletea tende kwa niaba ya mwenzi Mtukufu naona kimya [emoji12][emoji12]
Ni kweli, karibu sanaSehemu inaonekana ina upepo mzuri sana
AsanteNi kweli, karibu sana
Shukrani mpendwa najua kwako huwezi kukosa Mpemba na tende ππ[emoji2][emoji2]hiyo ahadi bado naikumbuka Hawachi,ngoja mfungo uanze,tende utapata kama ilivyo ada[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] Hawachi bhana,mi sio mpemba lakiniShukrani mpendwa najua kwako huwezi kukosa Mpemba na tende [emoji3][emoji3]
Aisee hivi huyo kwenye avatar sio wewe π€[emoji23][emoji23][emoji23] Hawachi bhana,mi sio mpemba lakini