Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimestuka kuiona hii huku lol! hahahahahahahahah. Maana kauli ya CardiB hapa ni hatari tupu na nimemtumia mtu just few hours ago. Nilipomuona nikasema duh! nimeipost hii huku ikabidi niangalie haraka sana nani kaipost. Huyu mrembo ni hatari mdomo wake hauna break. Ila hilo linamuongezea umaarufu mkubwa sana mbali na muziki wake.


#TufanyeTunamalizia

BAK
 
Ata najuta kwanini jana nilimtumia salamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…