Hujakosea bro.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au nakosea bro
Hahahahaha kweli kabisa Mengi alikuwa ni Mmachame kumbeUnajua wanawake wa kimachame husemwa kuwa na tabia zaa kuua waume zao ili wajitwalie mali, kwahiyo kifo cha ghafla cha tajiri Mengi kinawafanya wadhani kila mwanamke ana tabia za kimachame
mashabiki wa manchester united tunajifanya tupo bize na huu uzi wa likes
Ujue Kilichowacost Liverpool ni draw nyingi sana (7),imagine wamepoteza mechi moja pekee hadi sasa ila bado wanazidiwa na City waliopoteza game 4..ila wanadraw 2 tu,,ni mahesabu tu Klop alikosea ila mlikuwa na msimu mzuri sana.Game na WHU ,Man U zilikuwa za kushinda sio Draw zimetukost sana
Sikumbuki alitoka wapi kwa sababu kwenye Jumong naona mtu wake wa karibu alikuwa Naroalikuwa anamwita jaebujo
Hahaha poleni sana,ok ngoja tuone kama hzo dua zenu za City kupoteza ztafanikiwa[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha sawa bhana kila mtu ashinde zake nikikumbuka gape la points 7 roho inaniuma kweli all and all tulikuwa na msimu mzuri 95+ bado uwi bingwa kweli hii ni EPL
Kweli kabisa kulikuwa hakuna sababu za kudraw mechi zingineUjue Kilichowacost Liverpool ni draw nyingi sana (7),imagine wamepoteza mechi moja pekee hadi sasa ila bado wanazidiwa na City waliopoteza game 4..ila wanadraw 2 tu,,ni mahesabu tu Klop alikosea ila mlikuwa na msimu mzuri sana.
Lolote linaweza kutokeaHahaha poleni sana,ok ngoja tuone kama hzo dua zenu za City kupoteza ztafanikiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
baadhi ya nyakati waandishi huwaongezea baadhi ya wahusika ndani ya filamu hata kama hawapo kwenye historiaSikumbuki alitoka wapi kwa sababu kwenye Jumong naona mtu wake wa karibu alikuwa Naro
Ni kweli mkuu,kila la kheriLolote linaweza kutokea
Sawa broHujakosea bro.
Mwamuzi ni mechi za mwisho
Sasa hv umri unamkataaKipind hcho alikuwa bomba sana
Hahah kweli iandishi wa kufananisha kitu na kitu kingine huwa ni simple sana yani nyimbo nzima inajaa maneno "Kama"Kuna watu walidai uandishi wa aina hii ulikuwa simple sana,unaona baada ya watu kumzoea hana jipya tena
Ni kama vile Roma,kipind kile walidai uandishi wake ni kama ngonjera vile afadhal siku hz anajitahidi
Roma nae siku hizi huu ujio mpya wa uchanaji wake umeanza kunichosha hasa pale anasema kitu cha kuchekesha na yeye kama anacheka hivi...Kuna watu walidai uandishi wa aina hii ulikuwa simple sana,unaona baada ya watu kumzoea hana jipya tena
Ni kama vile Roma,kipind kile walidai uandishi wake ni kama ngonjera vile afadhal siku hz anajitahidi
Hahah umenikumbusha mbali sana mzee, niko poa za kwako?Village elder niaje mazee
Ndio mwanzo wa kutumia Viagra Pr naye aangalie
Messi awezi pata goli anfield
Nimekupata mkuubaadhi ya nyakati waandishi huwaongezea baadhi ya wahusika ndani ya filamu hata kama hawapo kwenye historia
HahahahahaNi kweli mkuu,kila la kheri
#BoraJiraniAchukueEplKulikoMajogoo