Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Roma nae siku hizi huu ujio mpya wa uchanaji wake umeanza kunichosha hasa pale anasema kitu cha kuchekesha na yeye kama anacheka hivi...

Tafuta New joint ya Jose Mtambo ft Matonya na Roma inaitwa "Nimesahau"
Ngoja nitaifuta mzee,
Ha ha ha Roma mizinguo toka zamani,niliwahi kuupenda wimbo wake mmoja tu,niliupenda tokana na colabo alimpa Jose Mtambo ile ngoma huwa kali sana "Kidole Cha Mwisho Juu"
 

Unajua Mkuu Damushin watu wengi hawapendi ukweli ndiyo maana Mimi baada ya kushahuri sikutumia nguvu nyingi kuwalazimisha ukweli huwezi ukawa unajua kabisa huna uwezo wa ku Afford kwenda Disney land kula bata na bado ukajipa moyo inawezekana

Ni sawa kwa Mzee wa liver kuamini watapindua matokeo na kuwaondoa Mashindanoni Barcelona
 
WACHOCHEA MOTO UKIJA KUWAKA MZIMAJI NANI.

mzee wa liver atakuja na hadithi za mwaka 2005 ya kwamba alipindua matokeo dhidi ya AC MILAN ngumu.

Mimi siku ile Messi anafunga goli la free kick kabla ya kupiga ulikuwa ukimwangalia alikuwa na uchu sana wa kufunga na alifanya hivyo kwa sasa Messi at his best there is no man can stop him
 
Mimi sikutaka Jose afukuzwe kabisa lakini wapenda mihemko walipenda alivyofukuzwa
Ujue United itakiwa kubomolewa kabsa,pale kuna wachezaji bado wa Mzee Furgson aliowaacha bado wanacheza,kuna wachezaji wa makocha hawa Moyes,Van Gal, Special One,,sasa wote hao wakichanganyikana kujua pumba na mchele ni ishuu

Mfano mzuri,,Pep alipokuja City,ule msimu wa kwanza alitumia kuisuka timu,zile pumba zote akawa anazimwaga moja baada ya nyingine wale kina Zabaleta na wengineo,,,leo hii City inakikosi kipana ni wachezaji wachache aliowakuta na bado wanapewa namba kwenye kikosi chake..

Tatzo la United ni Ed Woodward hatoi pesa ya kutosha kufanya usajiri wa maana na bado tunataka mafanikio ya haraka ili hali timu yetu mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…