Mmh msisingizie laana mbona barca mnamuabudu messi na kumpa kila aina ya majina na laana haijawapataIle laana ya kumuita mchezaji wao Mungu bado itawatafuna sana
Hahahahaha mkuuUnajua Mkuu Damushin watu wengi hawapendi ukweli ndiyo maana Mimi baada ya kushahuri sikutumia nguvu nyingi kuwalazimisha ukweli huwezi ukawa unajua kabisa huna uwezo wa ku Afford kwenda Disney land kula bata na bado ukajipa moyo inawezekana
Ni sawa kwa Mzee wa liver kuamini watapindua matokeo na kuwaondoa Mashindanoni Barcelona
Special one angepeleka timu top 4Kwa kumaliza huku kuna tofauti gani kati ya The Special One na Ole??
Mpira una matokeo ya kikatili sana subiri uoneWACHOCHEA MOTO UKIJA KUWAKA MZIMAJI NANI.
mzee wa liver atakuja na hadithi za mwaka 2005 ya kwamba alipindua matokeo dhidi ya AC MILAN ngumu.
Hahahahaha Leo mmenishikaUzuri wa Imani ni kwamba unaweza kuamini chochote yaani unaweza kuamini kwamba Kitambi ni sawa na Mimba japo siyo kweli
Kabisa mkuu Ntolilo sijui anahudhuria hukoSanaaa inatakiwa mara moja moja tukawasalimie
Tupo kwenye uchaguzi mkuu[emoji23][emoji23]