Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1089171
Hakika kwetu ni Neema, baraka na amani wangapi leo walitamani wafike mwenzi huu wa Ramadhani lakini kwa uwezo wa Allah leo hii tumeenda kuwapumzisha katika nyumba zao za milele,wangapi wanao tamani angalau wapate wasaa wa kufunga ila kutokana na maradhi haitowezekana kwao. Mimi na wew kama tumepata Neema ya kuwa na Afya njema tuseme Allahadulah 🀲🀲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…