Ana kosa gani?Kesho macho yote kwa jackline. Labda ajifiche
Good Night.Good night Every One.
Safi tu.Njema za kwako
Nampa hongera mama kwa kutunza picha zangu.Kama ni ya utoton hongera...utoton mapicha yangu yote ni mitoko ya ckukuu, shule na mpiran tu tena nyingi mchafuu
Kuna ambao wanaanza kesho na wengine j4 penye majaaliwa ya Mwenyeezi MunguMkuu mfungo mnaanza lini
[emoji106][emoji106][emoji106]
Ni kweli, uchunguzi ufanyike, kama amehusika na jinai yoyote sheria ichukue mkondo wake vinginenevyo kila kitu kijukikane ili dada wa watu apoeKweli lakini kama kuna harufu Fulani mbaya itolewe kabisa naona mwisho wa siku anaweza kuishia pabaya kama kuna sitontofahamu zimalizwe mapema
Inasikitisha tunaendelea kupoteza wapendwa wetu.Hali inatisha
[emoji2][emoji2]Uji wa maziwa ndio wakati wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1089146Wasukuma hii ni yenu
Kongole kwake mamaNampa hongera mama kwa kutunza picha zangu.