Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini Mkuu watabiri walishasema Tangia nyuma kwamba Hamtachukua kikombe chochote labda lile Kombe la mwanaharamu analolifunikaga
Watabili ni watabiri tu, basi tuseme walichotabiri msimu huu kwa Liverpool kilikuwa sahihi.
Lakini watabiri haohao baada mechi chache za Ole walidai Man U wataishia kwenye top 4, lakini sioni ukweli wa utabiri huo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa bhana ila sisi Manchester tunashukuru maana mngetusumbua kweli kweli mngechukua Ubingwa wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…