Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BREAKING NEWS: Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima anatarajiwa kuwa na mkutano na waandishi wa habari leo Jumatano, saa tano asubuhi katika kanisa la Ufufuo na uzima maeneo ya Ubungo jijini Dar es Salaam.
Safi, aje akanushe kideo kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…