Familia Wameshakubali ni yeyeTatizo ila sauti iliyosema Asante baby ni yake kabisa
Hahah wewe nae adi uone kila kituInachosha hata hajaonyesha naniiiiiiii hahahaa
capitalpoolMr Coder embu tuambie kunauwezekano wa kucheza na devices mpaka ikawa vile ya Gwajima?
Raha ya ubuyu kupepesa jicho kila idaraHahah wewe nae adi uone kila kitu
Mbona yeye hajakubali sasa?Familia Wameshakubali ni yeye
Nakupata vizuri tu kijana mpole hii hali inatupata sana mashabiki wa mpiraSawa Tu binafsi niko down sana
Kaona aibuMbona yeye hajakubali sasa?
Sana ,timu B ya kuogopeka mnoHilo limeigharimu Barcelona.
Wengi waliamini liver imekufa kwa kukosekana wawili hao
Kabla ya kuona video niliona post ya biriani kuhusu Video ya jamaa nikajua kila kitu hadharani kumbe sivyo, sasa sijui yeye aliona video ipi adi asifie naniii ya mchungajiRaha ya ubuyu kupepesa jicho kila idara
Ni yeye,familia imekubali ila imemsingizia shetanSaivi nnaanza kupata wasiwasi inawezekana siyo yeye, ni ngumu kuamini lkn inawwzekana ikawa hivyo.
Sasa hapo ndio wanakosea kujichanganyaKaona aibu
Mimi naona video ya kwanza na ya pili sio scene moja.Tatizo ila sauti iliyosema Asante baby ni yake kabisa
Kwenye press?Ni yeye,familia imekubali ila imemsingizia shetan
Nasikia zipo tatu labda ipo nyingine hatujaionaKabla ya kuona video niliona post ya biriani kuhusu Video ya jamaa nikajua kila kitu hadharani kumbe sivyo, sasa sijui yeye aliona video ipi adi asifie naniii ya mchungaji
Kuna uzi kule hoja na habari mchanganyiko wanasema kakubaliKwenye press?
Mbona hajakubali?
Nimeangalia press yote, amekana.Kuna uzi kule hoja na habari mchanganyiko wanasema kakubali