Wambea tumeshakula ubuyu. Yeye na waumini wake watajijua ila wamemuwezea maana inasemekana ni tabia yake. Mfano skendo ya frola mbashaNimeangalia press yote, amekana.
Yote yawezekana bro ila kama imetengenezwa kweli basi jamaa mafundi sanaaMimi naona video ya kwanza na ya pili sio scene moja.
Pili kutokana na matukio ya kisiasa yanavyofanyika awamu hii kuna uwezekano ikawa ilitengenezwa kitambo ikatunzwa na jana imeachiwa ili kufunika issue ya Mdude ambayo tyr ilishika kasi mitandaoni.
Kwa teknolojia tuliyo nayo lolote linaweza kutokea.
[emoji1787][emoji1787]Angewatoka hapo mngemsifia balaa
ItakuaNasikia zipo tatu labda ipo nyingine hatujaiona
Hahahaha, watu 5 wamemzungukaBinti Mpole hapo unatokaje embu tupe mbinu
Yote yawezekana bro ila kama imetengenezwa kweli basi jamaa mafundi sanaa
My point is kwa video ilivyo inawezekana ni ya kweli au ya kutengeneza.Kitendo cha video mbili kutokushabihiana hakumaanishi kuwa ile ya pili sio ya kweli.Wambea tumeshakula ubuyu. Yeye na waumini wake watajijua ila wamemuwezea maana inasemekana ni tabia yake. Mfano skendo ya frola mbasha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naufutilia mjadala wenu broDaaah sawa Tu
Hahahahaha[emoji23][emoji23]naona unawaliwazaLeo mmekua wapole hadi raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku mvua tu broKwani huko kwenu vipi?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Tukutane jioni kwenye futariPoleni sana, ila kuna cha kujifunza kupitia mechi ya jana.
1. Usimuamini mtu hata iweje maana anaweza kukugeuka dk tu
2. Usikate tamaa no matter the situation. Just keep going and do ur best.
Walichofanya liva jana ni kwamba hawkuangalia ukubwa wa tim na pressure za nje, waliangalia walipokosea mechi iliopita wakalifanyia kazi na wakaona bado wana nafasi kubwa hata kama mashabiki zao walikata tamaa. Walicheza kwa imani moja tu, 'kushinda' na wakashinda.
Bravo Liverpool though am not ur fan [emoji4]
Usimkimbie mfuate mkayamalize[emoji23][emoji23]Ndugu yangu Don Clericuzio hongera sanaaaaa nimekuona unanitafuta ila nakukwepa na genge lako, hongera zangu pokelea huku
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120].Asante sana, chukueni EPL na City.
Ngoja tudili na kimeo cha Ajax au Tottenham ili tugawane makombe.
Huku kimoyo moyo nacheeekaaHahahahaha[emoji23][emoji23]naona unawaliwaza