Yani kila mtoto utasikia ana mtoto. Huko ulimwenguni kuna watoto wa mika mpaka 10 wenye watoto. Na shida ilianzia huku huku kwenye kulegeza masharti.Kweli kabisa uoga utawaisha watajiachia kwa sana
Hahahahaha[emoji102]
Mkuu hiyo avatar yako huwa inanifurahisha sana kwa kweli
Kumbe ndo wewe ulikuwa umemficha Babe S. Karibu wiki nzima nyote hampo hapa mnafurahia fungate. Yaonekana ulikuwa na usongo eeeeh?Babe S alisafiri kikazi kwenda Mtwara na mimi nikaenda Shy
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kumbe KK ndie anakuvuruga ngoja akutende
HahahahahaI always do this, am back...
What's up[emoji102]
Ndio lengo la uziToa likes upate
I thought Diana (RIP) was his momPrince William and his wife princess Diana[emoji102]
KabisaLikes kwa likes
Cheka tu ukitendwa utaliaHahaahaa
Sawa mkuuIli nawe usamehewe
Na wewe toa likes zetu!Hatareeee nipeni like zangu. Hahahaha
Ngoja nikuchomeke likeHongera
SawaNawe umewapa furaha wengine
Kuna wazee wa kunyatia humu kaka[emoji23][emoji23]Jamani Jakitoo sitembei naye mfukoni. Namwamini sana bebi wangu na yuko huru kufanya lolote atakalo as long as halitaniumiza wala kuhatarisha penzi letu. Mapenzi ni kuaminiana bana na siyo 24/7 mnachungana na kufuatiliana.
Jakitoo kuna mtu anakuulizia huku njoo umjibu mama. Halafu uwahi chumbani kuna kitu nataka nikunong'oneze [emoji23][emoji23][emoji23]
Kula likesThanks
Kula likes zakoHe umepata furaha leo